Home » » MWALIMU WA SEKONDARI WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI ANAHITAJIKA.

MWALIMU WA SEKONDARI WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI ANAHITAJIKA.


TANGAZO
Mimi ni mwalimu wa sekondari, nimeajiriwa na serikali (Idara ya elimu sekondari), nipo mkoa wa GEITA, halmashauri ya wilaya ya CHATO, nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi awe anatokea mikoa ifuatayo:
MBEYA, IRINGA NA NJOMBE.

Aliyetayari tuwasiliane:
ERICK MEENA:
  • 0765332030
  • 0764987588
  • 0655987588
Email: kaozat@yahoo.com

0 comments:

Post a Comment

Most Read

Translate

Follow by Email

Followers

Pageviews

Google+ Followers