MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 212 MBIONI KUTANGAZWA HUKU KUKIWA NA HOFU KUBWA YA KUSHUKA KWA KIWANGO CHA UFALU KUTOKANA NA MIGOMO YA WALIMU

on Thursday, December 13, 2012 - 6 comments:

Ikiwa ni miezi kazaa tangu vijana wa darasa la saba tangu wafanye mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba muda ,muafaka ambao umekuwa ukingojewa kwa hamu na vijana hao ili kujua kile walichokivuna kwa kukaa shule kwa muda wa miaka saba sasa wakaribia ambapo ni huwa ni kabla ya krismasi kuanzia tarehe 20 hadi 25. Mwaka jana jumla ya wanafunzi 567,567 walifaulu mitihani ya kumaliza elimu ya msingi, je mwaka huu wataweza kufikia kiwango hicho ikizingatiwa kumekuwa ni migomo ya mara kwwa mara ya walimu? 
  • Je endapo ufaulu wa wanafunzi utapungua kwa kiasi kikubwa lawama ziende kwa nani, waziri wa wizara husika au serikali kwa kuto timiza matakwa ya walimu?

Katika msimu wa mwaka jana Baraza la Mtihani la Taifa lilifuta matokeo yote ya watahiniwa 9,736 sawa na asilimia 1.0 waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa mtihani huo.
  • Je mwaka huu itakuwaje kwa watahiniwa hao ambao hawakupata masomo kwa mda wote kutokana na mgomo ya walimu.

Mwaka jana kiwango cha ufaulu kiliongezeka hadi kufikia asilimia 58.28 ukilinganisha na cha mwaka juzi ambacho kilikuwa asimilia 53.52.
  • Endapo kiwango kitashuka kwa mwaka huu je serikali itachukua hatua gani kwa walimu? na ninani wakulaumiwa walimu wa shule hizo kwa kutofundisha au serikali kwa kutowalipa walimu madai yao!
TAFAKARI MUELEKEO WA ELIMU YA TANZANIA! 

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

6 comments:

  1. bear grylls messer
    Visit my website ; bear grylls messer

    ReplyDelete
  2. Do we parents have to call it a political joke of the year ? Can you seriously get prepared to send a kid to school? I'm confused.


    ReplyDelete
  3. matokeo kwenye mtandao mbona hamuweki kwenye mtandao. acheni hizo wekeni basi NECTA mnafanya nini

    ReplyDelete
  4. matokeo kwenye mtandao mbona hamuweki kwenye mtandao. acheni hizo wekeni basi NECTA mnafanya nini

    ReplyDelete

Like, share and send to friends