What's New Here?

Kwa wale walioomba nafasi za kazi katika taasisi na ofisi mbalimbali za uma na wakafanyiwa usaili majina yao yapo katika Mtandao tayari, kuona majina ya waliochaguliwa
Bonyeza link hii kupata majina

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI (UTUMISHI WA UMA)

Kwa wale walioomba nafasi za kazi katika taasisi na ofisi mbalimbali za uma na wakafanyiwa usaili majina yao yapo katika Mtandao tayari, kuona majina ya waliochaguliwa
Bonyeza link hii kupata majina

Kutoka katika tovuti ya Jeshi la Polisi Tanzania (http://policeforce.go.tz)
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili wahitimu walioorodheshwa hapa chini wa vyuo vya Elimu ya Juu na  vya Ufundi  Stadi. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 11/11/2003 hadi tarehe 15/11/2013 saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni kila siku kwa taaluma na maeneo yafuatayo;
  •  Fani za Menejimenti  ya Rasilimali Watu, Utawala, Uchumi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji(BaLe), Ualimu, Sosholojia, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Sheria, Takwimu, Lugha, Uhusiano wa Kimataifa, Uandishi wa habari na Mawasiliano ya Umma, Maendeleo ya Jamii, Ukutubi na Utunzaji Kumbukumbu. Usaili  wa fani hizi  utafanyika katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam(DPA) kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam .
  • Fani ya Udereva ,Ufundi rangi za magari(spray and Painting /Panel Beating ), Ufundi wa matengenezo ya Magari Makubwa(Auto-Mechanics-Heavy Duty) na Ufundi wa Matengenezo ya Umeme wa Magari(Auto Elecrical ). Usaili wa  fani hizi utafanyika Kikosi cha Polisi Ufundi kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.
  • Fani za Kompyuta. Usaili wao utafanyika nyuma ya kikosi cha Ufundi yaani  TEHAMA KEKO chini.
  • Fani ya Uhandisi Mitambo(Mechanical Engineering ). Usaili wao utafanyika Kikosi cha Polisi Anga kilichopo Uwanja wa Ndege JK Nyerere DSM.
  • Waataalam wa masuala ya Afya/Wauguzi usaili wao utafanyika katika kikosi cha afya kilichopo kando kando ya barabara ya Kilwa Kurasini Dar es salaam.
  • Orodha  ya majina inapatikana  pia katika Gazeti la habari Leo la tarehe  04/11/2013.
   Muhimu: 
  1. (i)Mwombaji afike kwenyeakiwa na nakala  halisi  pamoja na kivuli cha  vyeti vyote vya masomo/Taaluma [Academic Transcript (s)/Certificate(s)]yaani  kidato cha nne, sita ,Chuo na cheti cha kuzaliwa. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika. 
  1. (ii)Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atalipia gharamaupimaji afya  shilingi elfu kumi(10,000), usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili.
 (iii)Kwa kuwa  muda ni mchache  anaekuja kwa usaili ajiandae baada ya usaili atakaechaguliwa  atapelekwa katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi siku nne baada ya usaili kwisha yaani tarehe 19/11/2013.
 Orodha ni kama ifuatavyo;

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI TANZANIA MWAKA 2013

| Print |
Mitaala ya Elimu katika ngazi za Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu imewekwa katika tovuti hii.

Mitaala hii ni ile iliyoandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi mwaka 2005 ambayo ilizingatia ufundishaji unaozingatia ujuzi na ujenzi wa maana badala ya ule wa awali unaozingatia maarifa. Mitaala hii imekuwa ikitumika kwa kipindi chote kuanzia mwaka 2005 hadi hivi sasa.

Mitaala imeboreshwa kufuatia mchakato wa majadiliano katika vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vilivyofanyika mwezi Februari 2013, pamoja na maoni na hoja mbalimbali zilizotoka kwa wadau wa elimu.

Pamoja na maboresho yaliyofanyika, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inaweka mitaala hii wazi kwa wadau wote wa elimu na jamii kwa ujumla ili kuendelea kupata maoni zaidi ya jinsi na namna ya kuiboresha mitaala hiyo.

Aidha, katika kipindi hiki cha kukusanya maoni, mitaala hii itaendelea kutumika hadi hapo mchakato wa kuihuisha utakapokuwa umekamilika.

icon MTAALA WA ELIMU YA AWALI (90.55 kB 2013-10-11 16:40:21)
icon MTAALA WA ELIMU YA MSINGI (159.72 kB 2013-10-11 17:31:36)
icon CURRICULUM FOR ORDINARY LEVEL SECONDARY EDUCATION (184.15 kB)
icon CURRICULUM FOR ADVANCED SECONDARY EDUCATION (240.3 kB 2013-10-11 17:33:17)
icon CURRICULUM FOR CERTIFICATE IN TEACHER EDUCATION (332.33 kB)
icon CURRICULUM FOR DIPLOMA IN TEACHER EDUCATION (192.09 kB)

MADARAJA MAPYA YA KUFAULU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE

PATA MITAALA YA ELIMU TANZANIA ILIYOTOLEWA NA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI NA MADARAJA MAPYA YA KIDATO CHA NNE

Kupata taarifa hiyo bofya hapo chini

TAARIFA KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA MWAKA WA MASOMO 2013/2014

Kupata taarifa hiyo bofya hapo chini
Updated List of selected Candidates for Nursing Schools 2013/2014

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MUHULA WA MASOMO 2013/2014

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA MWAKA WA MASOMO 2013/2014

Updated List of selected Candidates for Nursing Schools 2013/2014

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MUHULA WA MASOMO 2013/2014

Maofisa wa WAMOJA ICT Consulting Limited

Mtangazaji Maduhu na WAMOJA ICT Consulting Limited

Kampuni ya WAMOJA ICT Consulting Limited ya jijini Dar es salaam inayojihusisha na utoaji wa mafunzo ya teknohama nchini Tanzania imekubali kushirikiana na kipindi cha Maisha na Teknohama cha Morning Star Radio kinachosikika kila jumapili saa 3:00- saa 4:00 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki kushiriki katika kipindi hicho kila jumapili ya tatu ya kila mwezi.

Wakizungumza na mtangazaji wa kipindi cha Maisha na Teknohama, Mtangazaji Maduhu katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Mwenge,maofisa wa kampuni hiyo inayoundwa vijana wa kitanzania wakishirikiana na kijana toka Korea wamesema hiyo itakuwa fursa nyingine kwa wasikilizaji wa kipindi hicho kupata maarifa kuhusu teknohama.

Source: maishanateknohama

WAMOJA ICT CONSULTING LIMITED KUSHIRIKI KATIKA KIPINDI CHA MAISHA NA TEKNOHAMA

Katika historia ya watu wengi maarufu na wenye utajiri mkubwa duniani wengi wao hawakuweza kumaliza elimu yao na kuachia njiani na kujikita zaidi katika kuendeleza ugunduzi au shughuli mbalimbali walizozianzisha.
Kuna mifano hai mingi kama mmiliki wa facebook Mark Zuckerberg, Steve Jobs wa Apple Inc, Bill Gates wa Microsoft na wengine wengi, wote hao walikatisha masomo yao. Je sababu ni nini iliyowapelekea watu hao kuacha shule na kujikita zaidi katika shughuli zao binafsi? Je hali inakuwaje kwetu Afrika baadda ya kuchukua maamuzi magumu kama hayo? Tatizo kubwa ni tulivyoandaliwa na wazazi wetu katika kukabiliana na maisha, hatujaandaliwa kuzikuza talents tulizokuwa nazo(vipawa) na tumekuwa tegemezi zaidi katika kuajiliwa na si ajira binafsi ambazo zinaweza kuwa ndio mkombozi mkubwa wa maisha yetu. Mfano watoto wa mastaa wakubwa wa Hollywood Will Smith and Jada Pinkett , Willow na Jaden wamekuwa ni watoto waliokuzwa katika vipaji vyao mmoja cha muziki na mwingine cha uigizaji. Swali kubwa ni je. kwanini wazazi hao hawakuamua kuwapeleka shule wanao hao kama ilivyokwetu Afrika. 
Tatizo kubwa ni kwamba wazazi wetu wamekuwa wapofu kwa kudhani kwamba mtu kuwa na elimu ya juu ndiyo kuwa na maisha mazuri, la hasha, kumkazania mwanao kushika madaftari na kutowakuza katika vipawa walivyonavyo ni sawa na kuwa na askari mwenye vyeo vimejaa mabega yote lakini hajui kushika silaha na kumkabili adui.
Ni wakati wa wazazi kubadilika na kuangalia dunia ya sasa inaendaje, waweze kuwaandaa watoto watakao weza kuikabili hali ya sasa na si kuwang'ang'aniza tu kwenda shule na mwisho wa siku wanarudi na matokeo mabaya na kuishia kuwa wazururaji wa mitaani wasio na muelekeo maalumu.
EWE MTANZANIA BADILIKA, MUWEZESHE MWANAO KUYAENDESHA MAISHA NA SI KUENDESHWA NA MAISHA.

Imeandaliwa na Kaozat (@kaozat1)
 
HUKU NDIKO WATANZANIA WENGI WANAKOISHIA BAADA YA KUACHA SHULE, EWE MZAZI BADILIKA NA MUANDAE MWANAO KUYAKABILI MAISHA

HABARI MPYA KUTOKA KATIKA WEBSITE YA CHUO CHA DODOMA, WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NGAZI YA STASHAHADA CHAGUO LA SABA, TAARIFA YA GRADUATION, NA ORIENTATION PROGRAM KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA

Like, share and send to friends

Jiunge nasi