NA HII INAKUHUSU KATIKA KILI MUSIC AWARDS: JINSI YA KUWAPIGIA KURA MASHUJAA BAND KWENYE TUZO ZA KILI MSIMU WA 2013/2014

on Wednesday, April 9, 2014 - No comments:


Ukiwa kama mdau mkubwa wa MASHUJAA BAND waweza wapigia kura kwa SMS, e-mail na moja kwa moja kwa website ya KILITIME.
Kwa njia ya SMS;
  1. Tuma neno BW6 kwenda 15440
  2. Tuma neno AC1 kwenda 15440
  3. Tuma neno AY3 kwenda 15440
  4. Tuma neno BE3 kwenda 15440
  5. Tuma neno BR3 kwenda 15440
Pia waweza kuwapigia kura online upya kwa kubofya hii link KILITIME au kupitia http://www.kilitime.co.tz/ktma/vote

Na njia ya mwisho ni ile ya kutuma email kwenda ktma@auditaxinternational.com
Kwa kufanya hivyo utakuwa umewasupport MASHUJAA BAND kwa kiasi kikubwa! AHSANTE KWA KURA YAKO.

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends