DIAMOND PLATNUMZ WA MY NUMBER ONE NA OMMY DIMPOZ WA TUPOGO KUFANYA WIMBO WA PAMOJA

on Friday, June 20, 2014 - No comments:

Pamoja na kukutana kwenye nyimbo za Kigoma AllStars, kwenye wimbo wa DullySykes ‘Utamu’ na kwenye ngoma ya Victoria Kimani ‘Prokoto’, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz hawajawahi kuachia wimbo rasmi wa pamoja.
Hivi karibuni Diamond alimpa shavu hitmaker wa ‘Ndagushima’ Ommy kwenye video ya wimbo aliomshirikisha Iyanya iliyofanyika jijini London, Uingereza na kuenea tetesi kuwa wawili hao wamepanga kufanya collabo kubwa ya pamoja itakayokuwa na video kali. amesema siku collabo yake na mtajwa huyo wa tuzo za BET, patachimbika. “Watu kwanza najua wanasubiria kwa hamu sana lakini trust me nakuambia siku utakayosikia moto umewaka basi itakuwa ni balaa na unaelewa kwamba wamanyema kwanza hawakosei. Sijui itakuwaje, lakini ni balaa. Halafu projects zipo nyingi tu lakini watu wasubirie tu waone itakuwaje lakini nakuambia ukweli itakuwa hatari sana,” alisema Ommy

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends