WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015 MAELEKEZO: Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa tarehe 06/10/2014. Fomu za maelekezo (Joining Instructions) zitatolewa na chuo husika na zitatumwa kwa waliochaguliwa tu. Waliochaguliwa wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu ya kujiunga na Chuo. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:www.moe.go.tz; NACTE:www.nacte.go.tz; na TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz Muhimu: 1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III 2. Waliochaguliwa wanatakiwa kuwasilisha Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA (CSEE na ACSEE) na vyeti vya kuhitimu Elimu ya Sekondari na Mafunzo ya Ualimu. 3. Ada ya mafunzo Stashahada ya Juu ni 600,000/= kwa mwaka (Muhula wa kwanza 300,000/= na muhula wa pili 300,000/=) 4. Wanafunzi watakaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SIYO vinginevyo, waweza pata orodha hyo kwa kufungua kiunganishi kimoja wapo hapo chini au kwa kutembelea mfumo wenye majina - bonyeza hapa MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU SAYANSI & HISABATI MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU ELIMU MAALUMU MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU LUGHA (KISWAHILI, ENGLISH & FRENCH) MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA AWALI MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA MICHEZO MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA MSINGI |
Habari, Michezo, Siasa, Elimu, Muziki na Matangazo
You are here: Home
» MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA CHETI NA SHAHADA MWAKA 2014/2015
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA CHETI NA SHAHADA MWAKA 2014/2015
on Tuesday, September 9, 2014
-
No comments:
Tagged as:
About Unknown
“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Share This Post
Related posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Like, share and send to friends
KARIBU
Popular Posts
-
KUWENI NA SUBIRA WADAU WETU TCU WAMEIONDOA ILE SELECTION STATUS FUATA HATUA HIZI ILI KUWEZA KUONA CHUO ULICHOCHAGULIWA Ingia kwenye website...
-
KUPATA MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2015 BOFYA HAPA... (2015 RESULTS CLICK HERE) NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2013 E...
-
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHATANGAZA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO HICHO KATIKA FANI MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013 The...
-
Kupata matokeo ya kidato cha nne 2013 BOFYA HAPA Kupata matokeo ya QT 2013 BOFYA HAPA MATOKEO CSEE 2013 ...
-
S4567 SACRED HEART S4568 ROYAL S4569 ST MARIE EUGENIE S4570 MAGUNGU S4571 KIJUNGU S4572 IPWAGA S4573 UWANJA WA TAIFA S4574 ITONA S4575 MESSA...
-
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015 BOFYA HAPA Kupata matokeo hayo bofya hapo chini MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 (NATIONAL FORM FOUR RESUL...
-
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA WA MASOMO 2012/2013 MAELEK...
-
Bofya hapa kuangalia matokeo ya darasa la saba Waweza pia kuchagua mkoa unaotaka kwa kubofya kwenye mkoa husika ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA ...
-
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, anawatangazia vijana wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2...
-
The following candidates have been selected to join LGTI for the academic year 2013/2014 which starts on Saturday, the 24th of ...
0 comments: