What's New Here?

Source: Jamii Forum

Habari za mchana huu wanaJF!

Nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa tumempoteza mwenzetu aliyejulikana kwa ID ya K007 ambaye kwa jina halisi ni Kenny Kidago Lyanga.

Kenny alikuwa ni rafiki wa karibu yangu na mm ndiiye niliyemshawishi ajiunge na JF tukiwa Arusha.

Alihama Arusha kuja dar kikazi ambapo hadi mauti inamkuta alikuwa ni creative assistance East African TV & Radio. 

Chanzo cha kifo chake hakijajulikana lkn mfanyakazi mwenzie ambaye alinijulisha habari hii asbh hii anasema tangu juzi wamekuwa wakimtafuta kazini bila mafanikio ndipp leo walipoamua kwenda ku-report polisi ndipo polisi walipokwenda kwenye makazi yake pale mwenye kituo cha mbele kidogo ya calabashi na kuita bila mafanikio, lakn walikipiga simu zilikuwa zikiita ndani ndipo walipofanya mpango wa kuvunja mlango na kumkuta ndani akiwa amefariki. 

Hakuna taarifa za ugonjwa wala kukutwa na majeraha yoyote.

Hadi asbh ya leo saa tatu kasoro hivi nilikuwa nilimtumia msg maananilikuwa nimwemwachia external hhard disk yangu aniwekee movie kama week moja iliyopita.

Kenny anatarajiwa kuzikwa kwao Morogoro mjini.

R.I.P Kenny Lyanga.

KENNY KIDAGO LYANGA MFANYAKAZI WA EAST AFRICAN TV NA RADIO NA MENEJA MWANZILISHI WA RADIO BEST FM - LUDEWA AFARIKI DUNIA

Source: Jamii Forum

Habari za mchana huu wanaJF!

Nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa tumempoteza mwenzetu aliyejulikana kwa ID ya K007 ambaye kwa jina halisi ni Kenny Kidago Lyanga.

Kenny alikuwa ni rafiki wa karibu yangu na mm ndiiye niliyemshawishi ajiunge na JF tukiwa Arusha.

Alihama Arusha kuja dar kikazi ambapo hadi mauti inamkuta alikuwa ni creative assistance East African TV & Radio. 

Chanzo cha kifo chake hakijajulikana lkn mfanyakazi mwenzie ambaye alinijulisha habari hii asbh hii anasema tangu juzi wamekuwa wakimtafuta kazini bila mafanikio ndipp leo walipoamua kwenda ku-report polisi ndipo polisi walipokwenda kwenye makazi yake pale mwenye kituo cha mbele kidogo ya calabashi na kuita bila mafanikio, lakn walikipiga simu zilikuwa zikiita ndani ndipo walipofanya mpango wa kuvunja mlango na kumkuta ndani akiwa amefariki. 

Hakuna taarifa za ugonjwa wala kukutwa na majeraha yoyote.

Hadi asbh ya leo saa tatu kasoro hivi nilikuwa nilimtumia msg maananilikuwa nimwemwachia external hhard disk yangu aniwekee movie kama week moja iliyopita.

Kenny anatarajiwa kuzikwa kwao Morogoro mjini.

R.I.P Kenny Lyanga.
African Zone
CountryReferee
CMRNeant ALIOUM
RSADaniel BENNETT
CIVNoumandiez DOUE
GAMBakary GASSAMA
ALGDjamel HAIMOUDI
CountryAssistant Referee
MARRedouane ACHIK
BDIJean Claude BIRUMUSHAHU
SENDjibril CAMARA
ALGAbdelhak ETCHIALI
RWAFelicien KABANDA
CMREvarist MENKOUANDE
KENMarwa RANGE
CIVSonguifolo YEO

North, Central American and Caribbean Zone
CountryReferee
SLVJoel AGUILAR
USAMark GEIGER
GUAWalter LOPEZ
PANRoberto MORENO
MEXMarco RODRIGUEZ
CountryAssistant Referee
USAEric BORIA
CANJoe FLETCHER
USASean HURD
CRCLeonel LEAL
MEXMarcos QUINTERO
MEXMarvin TORRENTERA
SLVWilliam TORRES
SLVJuan ZUMBA

Oceanian Zone
CountryReferee
TAHNorbert HAUATA
NZLPeter O LEARY
CountryAssistant Referee
NZLJan Hendrik HINTZ
FIJRavinesh KUMAR
NZLMark RULE

HAWA NDIO MAREFARII WATAKAOCHEZZESHA KOMBE LA DUNIA FIFA 2014 NCHINI BRAZIL

African Zone
CountryReferee
CMRNeant ALIOUM
RSADaniel BENNETT
CIVNoumandiez DOUE
GAMBakary GASSAMA
ALGDjamel HAIMOUDI
CountryAssistant Referee
MARRedouane ACHIK
BDIJean Claude BIRUMUSHAHU
SENDjibril CAMARA
ALGAbdelhak ETCHIALI
RWAFelicien KABANDA
CMREvarist MENKOUANDE
KENMarwa RANGE
CIVSonguifolo YEO

North, Central American and Caribbean Zone
CountryReferee
SLVJoel AGUILAR
USAMark GEIGER
GUAWalter LOPEZ
PANRoberto MORENO
MEXMarco RODRIGUEZ
CountryAssistant Referee
USAEric BORIA
CANJoe FLETCHER
USASean HURD
CRCLeonel LEAL
MEXMarcos QUINTERO
MEXMarvin TORRENTERA
SLVWilliam TORRES
SLVJuan ZUMBA

Oceanian Zone
CountryReferee
TAHNorbert HAUATA
NZLPeter O LEARY
CountryAssistant Referee
NZLJan Hendrik HINTZ
FIJRavinesh KUMAR
NZLMark RULE
1. APTITUDE TEST  RESULTS  Click here to download in PDF
2. CALL FOR INTERVIEW  Click here to download in PDF

WALIOITWA KWENYE INTERVIEW PCCB NA MATOKEO YA APTITUDE TEST

1. APTITUDE TEST  RESULTS  Click here to download in PDF
2. CALL FOR INTERVIEW  Click here to download in PDF
Kuna uwezekano umeshaandaa vyeti vyako na wasifu wako na upo kwenye michakato ya kuanza kuzunguka na bahasha kupeleka sehemu mbalimbali ii kuomba nafasi ya ajira. Kabla hujaweka nguvu na matumaini yako kwenye mchakato wa kuzunguka na bahasha kuna vitu vichache ambavyo ni vyema ukavijua.

1. Nafasi za ajira ni chache kuliko idadi ya wahitimu na wenye sifa. Kwa sasa karibu kila kada ukiondoa elimu na afya kuna nafasi chache sana serikalini na hata kwenye taasisi binafsi. Hata kwa kada ya elimu nako kwa miaka ya hivi karibuni kuna baadhi ya wahitimu wamekosa nafasi za kazi. Hivyo unavyoingia sokoni jua kabisa ‘demand’ ni ndogo kuliko ‘supply’

2. Sio kila nafasi za kazi zinazotangazwa ziko wazi. Kuna baadhi ya taasisi zinatangaza nafasi za kazi ili tu kutimiza wajibu na sheria ya kutaka ajira zitangazwe kwa umma. Hivyo unaweza kuandika maombi, ukaitwa kwenye usaili na bado ukaambiwa umekosa nafasi.

3. Wenzako wa mwaka jana na mwaka juzi bado wanazunguka na bahasha. Bado kuna wahitimu wengi wa miaka iliyopita nao bado hawajapata ajira. Kuna ambao bado wanaendelea kupitisha bahasha na kuna baadhi ambao wameamua kufanya mambo mengine. ni vyema kuwatafuta wa kila kundi ili ujifunze machache kutoka kwao.

4. Mishahara ya kazi za kwenye taasisi binafsi ni midogo sana. Tofauti na story za vyuoni kwamba mishahara inaanzia labda laki tano au laki saba jua kuna wenzako wana degree hivyo hivyo na wanalipwa laki mbili. Kama ukipata kazi na mshahara wakakutajia mdogo kama huna kingine cha kufanya ni bora kuchukua kazi hiyo ila uifanye kwa lengo la kupata ujuzi na kujenga mtandao na watu wanaofanya kada uliyosomea. Kuliko kukaa mwaka mzima ukizunguka na bahasha ukitegemea mshahara mkubwa ni bora kupata japo laki mbili kwa mwezi huku ukiendelea kukuza mtandao wako na ujuzi wako.

5. Kuna kazi za kujitolea, kama umekosa hata kazi ya bei rahisi kuna taasisi nyingi ambazo zina mpango wa watu kujitolea kufanya kazi na baadae unaweza kuingizwa kwenye ajira. Kama hali ya nyumbani inaruhusu kwa kuweza kupata kula na nauli fanya kazi za kujitolea na huko onesha uwezo wako na vipaji vyako. Kwa kuonesha uwezo na vipaji ni rahisi sana kukubalika na kupewa nafasi, na pia utatengeneza mtandao wa watu watakaokuonesha njia zaidi.

6. Sio lazima ufanye kazi ya kitu ulichosomea. Kuna baadhi ya kazi zinaweza kufanywa na mtu yeyote aliehitimu elimu fulani. Kwa mfano kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa walimu, hivyo kama umehitimu unaweza kutafuta shule na ukafundisha masomo yanayohusiana na ulichosomea. Kama umesoma kada za biashara unaweza kufundisha masomo ya biashara, kama umesoma sayansi kuna nafasi kubwa za kufundisha masomo ya sayansi kutokana na uhaba wa waalimu wa sayansi. Kama unadhani kushika chaki sio hadhi yako basi endelea kuzunguka na bahasha mjini.

7. Angalia mazingira yanayokuzunguka na jinsi unavyoweza kuyatumia kutengeneza ajira kwako na kwa wanaokuzunguka. Hii ndio dhana halisi ya elimu ila kwa kuwa elimu yetu inatuandaa kuwa waajiriwa basi tunajikuta wote tunasubiri kuajiriwa.Ni vyema ukaanza kufikiri tofauti na uliyofundishwa chuoni kuhusu ajira.

8. Cha mwisho kabisa ambacho ni vyema ukakijua na ambacho ingebidi kiwe cha kwanza ni kufanya maamuzi ya kujiajiri. Kama utachoshwa na kuzungusha bahasha ama kama hutaki kupata hiyo karaha ni vyema ukafanya maamuzi ya kutotegemea kuajiriwa. Tumia uwezo na vipaji ulivyonavyo changanya na elimu uliyoipata halafu tumia mazingira uliyopo kutengeneza ajira kwako na kwa wanaokuzunguka.

KABLA HAUJAANZA KUZUNGUKA NA NA BAHASHA YENYE CV NA VYETI ILI KUFUKUZIA AJIRA PATA ELIMU YA BURE

HERUFI A Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.

HERUFI B wenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.

HERUFI C Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano.

HERUFI D Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo.

HERUFI E Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu.

HERUFI F Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi.

HERUFI G Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu.

HERUFI H Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi.

HERUFI I Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.

HERUFI J Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo.

HERUFI K Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha.

HERUFI L Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara.

HERUFI M Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika.

HERUFI N Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana.

HERUFI O Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia.

HERUFI P Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu.

HERUFI Q Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana.

HERUFI R Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani.

HERUFI S Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa.

HERUFI T Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika.

HERUFI U Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi.

HERUFI V Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika.

HERUFI W Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari.

HERUFI X Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu.

HERUFI Y (YASINTA) Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha.

HERUFI Z Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria.

SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO

Ghana-born Dumor was a presenter for BBC World News and its Focus on Africa programme.
Paying tribute, Peter Horrocks, director of BBC Global News, said "Komla was a leading light of African journalism - committed to telling the story of Africa as it really is. He will be deeply missed."

R.I.P KOMLA DUMOR
Photo: Komla Dumor, BBC World TV presenter, has died suddenly at home in London, aged 41. http://bbc.in/1cFW7mT  Ghana-born Dumor was a presenter for BBC World News and its Focus on Africa programme.  Paying tribute, Peter Horrocks, director of BBC Global News, said "Komla was a leading light of African journalism - committed to telling the story of Africa as it really is. He will be deeply missed."

KOMLA DUMOR, BBC WORLD TV PRESENTER, HAS DIED SUDDENLY AT HOME IN LONDON, AGED 41.

Ghana-born Dumor was a presenter for BBC World News and its Focus on Africa programme.
Paying tribute, Peter Horrocks, director of BBC Global News, said "Komla was a leading light of African journalism - committed to telling the story of Africa as it really is. He will be deeply missed."

R.I.P KOMLA DUMOR
Photo: Komla Dumor, BBC World TV presenter, has died suddenly at home in London, aged 41. http://bbc.in/1cFW7mT  Ghana-born Dumor was a presenter for BBC World News and its Focus on Africa programme.  Paying tribute, Peter Horrocks, director of BBC Global News, said "Komla was a leading light of African journalism - committed to telling the story of Africa as it really is. He will be deeply missed."
I found this in one of the facebook member wall. The one who shared this picture was much blaming on how Whatsapp has been spending much of his time and not only that and for how it has made many quarrels from his girlfriend. This has been due to the fact that, the application has got a notification of when you were online and if the message have been seen on not. 
SOCIAL NETWORKS AND CHAT MESSENGERS ARE GOOD AND IMPORTANT TO OUR DAILY LIFE BUT WE SHOULD USE THEM WISELY.
THEY DON'T MAKE PROBLEMS BUT WE ARE THE ONE CREATING THOSE PROBLEMS

A PERSON BLAME ON WHATSAPP CHATTING FOR SPENDING MUCH OF HIS TIME AND BLAMES FROM HER GIRLFRIEND

I found this in one of the facebook member wall. The one who shared this picture was much blaming on how Whatsapp has been spending much of his time and not only that and for how it has made many quarrels from his girlfriend. This has been due to the fact that, the application has got a notification of when you were online and if the message have been seen on not. 
SOCIAL NETWORKS AND CHAT MESSENGERS ARE GOOD AND IMPORTANT TO OUR DAILY LIFE BUT WE SHOULD USE THEM WISELY.
THEY DON'T MAKE PROBLEMS BUT WE ARE THE ONE CREATING THOSE PROBLEMS
Day1 Ndani ya Bongo Records with the Super dupa producer P - funk Majani and @diamondplatnumz himself Muda Huu # COOKING for all yall'.... kaeni mkao wa kula watu wangu!!!

Day2 at Bongo Records with @p-funk majani and @diamondplatnumz Still Cooking. ..Stay tuned!
Kuipata nyimbo hiyo ingia na bofya hapa...PROF JAY FT DIAMOND - KIPI SIJASIKIA

NGOMA MPYA YA PROFESSOR JAY AKIMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ, RAISI WA WASAFI YAENDELEA KUPIKWA NA P-FUNK MAJANI NDANI YA BONGO RECORDS

Day1 Ndani ya Bongo Records with the Super dupa producer P - funk Majani and @diamondplatnumz himself Muda Huu # COOKING for all yall'.... kaeni mkao wa kula watu wangu!!!

Day2 at Bongo Records with @p-funk majani and @diamondplatnumz Still Cooking. ..Stay tuned!
Kuipata nyimbo hiyo ingia na bofya hapa...PROF JAY FT DIAMOND - KIPI SIJASIKIA
Usaili huo utafanyika katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Mwalimu Julius K. Nyerere Kilwa Road.
BOFYA HAPA KUPATA MAJINA HAYO....(CLICK HERE)

WALIOITWA KWENYE USAILI TAKUKURU (PCCB) SIKU YA IJUMAA TAREHE 17/01/2014

Usaili huo utafanyika katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Mwalimu Julius K. Nyerere Kilwa Road.
BOFYA HAPA KUPATA MAJINA HAYO....(CLICK HERE)

Like, share and send to friends

Jiunge nasi