AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO, SASA SI AUNT TENA NI MAMA COOKIE

on Friday, May 22, 2015 - No comments:


Aunt ambaye amekuwa ni mjamzito kwa miezi kadhaa siku ya jana asubuhi alifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kike ambaye amemwita jina la Cookie. Aunt amemshukuru Mungu kwa kujifungua kwa njia ya kawaida bila kufanyiwa operation.

Aunt amekuwa kwenye mahusiano na dansa wa Diamond platinumz kwa kipindi sasa ambapo wafanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza katika mahusiano yao.

Pia amepewa pongezi kutoka kwa marafiki na ndugu wa karibu wa staa huyo kwa kufikia hatua hiyo akiwemo Diamond na wengine wengi.

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends