STERLING ATOBOA BILA JURGEN KLOPP HABAKI LIVERPOOL MOJA YA SHARTI LITAKALO MFANYA ABAKI ANFIELD

on Sunday, May 31, 2015 - No comments:Raheem Sterling amabe hivi sasa bado hasomeki kama msimu ujao atacheza wapi, tetesi zimeripotiwa kwamba ana masharti yake kama anatakiwa kubaki kucheza Liverpool.

Gazeti la The Sun on Sunday limeripoti kwamba Sterling ambae mkataba wake ndani ya Anfield utisha msimu ujao amesema kwamba kitu pekee kitakachomfanya kubakia ndani ya Anfield ni kuja kwa kocha Jurgen Klopp.

Kocha Klopp anahusishwana sana na kukalia vitu vya ukocha wa timu mbalimbali barani ulaya baada ya kutangaza kwamba ataondoka Borussia Dortmund.

Zilitoka habari kwamba Raheem Sterling amekataa kusaini mkataba wa pound laki moja kwa wiki na amehusishwa sana kuhamia Chelsea, Arsenal na Manchester City.

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends