Safari ya mwisho ya Marehemu Mchungaji Mtikila kwenye mazishi yake Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe

on Friday, October 9, 2015 - No comments:

Safari ya Marehemu Mchungaji Christopher Reuben Mtikila Duniani imefika mwisho baada ya ndugu, jamaa, marafiki na mamia ya watu kuongozana mpaka Kijiji cha Milo, Ludewa Mkoa wa Njombe ambapo yamefanyika Mazishi yake jana October 08 2015.
Jina lake lilikuwa moja ya majina makubwa sana kwenye Siasa kwa muda mrefu sana Tanzania, Msiba wake umewashtua na kuwagusa watu wengi sana.
IMG-20151009-WA0032
Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP), na aliingia pia kwenye Mchakato wa kugombea nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu Tanzania October 2015, lakini kutokana na kutotimiza baadhi ya vigezo chama chake kilitolewa na Tume ya Uchaguzi NEC katika kuendelea na mchakato huo.
Hizi hapa picha kutoka Kijiji cha Milo, Ludewa ambapo yamefanyika Mazishi ya Kiongozi huyo.
IMG-20151009-WA0051
IMG-20151009-WA0047
IMG-20151009-WA0046
IMG-20151009-WA0045
IMG-20151009-WA0042
IMG-20151009-WA0045
IMG-20151009-WA0044
IMG-20151009-WA0041
IMG-20151009-WA0040
IMG-20151009-WA0039
IMG-20151009-WA0033
IMG-20151009-WA0034
IMG-20151009-WA0017
Viongozi wa Serikali walikuwepo pia, hii ni gari ya Mkuu wa Mkoa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi.
IMG-20151009-WA0020
Juu ya Jeneza lake kulifunikwa Bendera mbili, Bendera ya Chama chake cha DP na Bendera ya Tanganyika.
   IMG-20151009-WA0019 IMG-20151009-WA0021 IMG-20151009-WA0022 IMG-20151009-WA0023 IMG-20151009-WA0024 IMG-20151009-WA0025 IMG-20151009-WA0026 IMG-20151009-WA0027 IMG-20151009-WA0028 IMG-20151009-WA0029 IMG-20151009-WA0030 IMG-20151009-WA0031 IMG-20151009-WA0032 IMG-20151009-WA0033    IMG-20151009-WA0051
RIP Mchungaji Mtikila.

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends