What's New Here?

basiUkitaja majina ya mastaa hawa Manny Pacquiao na Floyd Mayweather, kila mtu anashauku ya pambano la jumamosi ambalo linasubiriwa kwa hamu na mashabiki mbalimbali duniani.
pa2
Pambano hilo ambalo linatajwa kuwa na kifahari zaidi huku viingilio vikitajwa kuwa vya gharama sana litafanyika jijini Las Vegas na litawashirikisha mabondia hao maarufu duniani.
paaa
Tayari maandalizi kwa pande zote mbili yamekamilika na kila mmoja anajiandaa kwa mara ya mwisho kabla ya kukutana ulingoni.
pa3

HIVI NDIVYO MAN PACQUIAO ALIVYOTUA LAS VEGAS NA FAMILIA YAKE

basiUkitaja majina ya mastaa hawa Manny Pacquiao na Floyd Mayweather, kila mtu anashauku ya pambano la jumamosi ambalo linasubiriwa kwa hamu na mashabiki mbalimbali duniani.
pa2
Pambano hilo ambalo linatajwa kuwa na kifahari zaidi huku viingilio vikitajwa kuwa vya gharama sana litafanyika jijini Las Vegas na litawashirikisha mabondia hao maarufu duniani.
paaa
Tayari maandalizi kwa pande zote mbili yamekamilika na kila mmoja anajiandaa kwa mara ya mwisho kabla ya kukutana ulingoni.
pa3

1
A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-
i. walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 11,366;
ii. walimu wa stashahada 4,151 na shahada 12,490 kwa ajili ya shule za sekondari
iii. mafundi sanifu maabara 264 kwa ajili kusimamia maabara na kuandaa masomo ya sayansi kwa vitendo katika shule za sekondari
B: Utaratibu Ajira Mpya kwa Walimu na Mafundi Sanifu Maabara
Kila mwajiriwa mpya anatakiwa kuzingatia yafuatayo:-
i. walimu wenye sifa waliohitimu mafunzo kwa mwaka wa masomo 2013/14 wamepangwa pamoja na walimu wa sekondari wa masomo ya sayansi na hisabati waliohitimu miaka ya nyuma na wameomba kuajiriwa;
ii. kuripoti kuanzia tarehe 01 Mei hadi 09 Mei 2015 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kuajiriwa na kupangwa vituo vya kazi;
iii. kuwasilisha vyeti halisi vya taaluma ya kuhitimu mafunzo, elimu ya sekondari, cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake;
iv. hakutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi; na
v. fedha za kujikimu kwa muda wa siku saba (7) na nauli ya usafiri wa magari (ground travel) zitatolewa kwenye halmashauri husika baada ya kuripoti.
kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa zifuatazo:

AJIRA MPYA ZA WALIMU SHULE ZA MSIINGI NA SEKONDARI MWAKA 2015

Image result for nembo ya taifa
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa.

AJIRA MPYA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2015

Image result for nembo ya taifa
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa.

kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa zifuatazo:

Like, share and send to friends

Jiunge nasi