Ebola yarudi tena kwa maranyingine baada ya hapo jana kutangazwa kuwa imemalizika

on Friday, January 15, 2016 - No comments:

Jana shirika la Afya duniani WHO lilitangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola huko Sierra Leone.

Headlines zimerudi tena nchini humo baada ya maofisa wa afya kudhibitisha ugonjwa huo kurudi tena na kuua mtu mmoja. Mwili wa mtu huyo ulipimwa na wataalam wa afya kutoka Uingereza na kuthibitika alikuwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola. Maofisa wa afya wameanza kutafuta watu wote ambao walikutana na mtu huyo kabla hajafariki. Sierra Leone ni miongoni mwa chini za Afrika Magharibi zilizpkumbwa na ugonjwa wa Ebola uliosababisha  vifo vya watu wengi.

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends