Mechi zitakazounguruma siku ya leo katika viwanja mbalimbali hapa nyumbani na Ulaya

on Friday, January 15, 2016 - No comments:


Baada ya kusimama kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa zaidi ya siku 10, weekend ya January 16 na 17 inaendelea kama kawaida kwa michezo nane kupigwa,
Lakini hii sio michezo pekee itakayopigwa weekend ya January 16 na 17. Ligi Kuu Hispania na Uingereza zitaendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa. Hii ni ratiba mtu wangu ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania kwa mechi zitakazopigwa January 16 na 17.
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara zitakazochezwa Jumamosi ya January 16 na 17
sd
Mechi hizi za Ligi Kuu soka Tanzania bara zitachezwa saa 16:00
sd1
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki January 16
 • Tottenham Vs Sunderland Saa 15:45
 • Bournemouth Vs Norwich Saa 18:00
 • Chelsea Vs Everton Saa 18:00
 • Man City Vs Crystal Palace Saa 18:00
 • Newcastle Vs West Ham Saa 18:00
 • Southampton Vs West Brom Saa 18:00
 • Aston Villa Vs Leicester Saa 20:30
January 17
 • Liverpool Vs Man Utd Saa 17:05
 • Stoke Vs Arsenal Saa 19:15
sd2
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki
 • Sevilla Vs Málaga Saa 18:00
 • Celta de Vigo Vs Levante Saa 20:15
 • Villarreal Vs Real Betis Saa 22:30
 • Real Sociedad Vs Deportivo de La Coruña Saa 00:05
January 17
 • Valencia Vs Rayo Vallecano Saa 14:00
 • Real Madrid Vs Sporting de Gijón Saa 18:00
 • Getafe Vs Espanyol Saa 20:15
 • Las Palmas Vs Atl Madrid Saa 20:15
 • Barcelona Vs Ath Bilbao Saa 22:30

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends