Rafael Benitez afungashiwa virago Real Madrid na mrithi wake apatikana kuikamata mikoba yake

on Monday, January 4, 2016 - No comments:

 
Uongozi wa klabu ya Real Madrid umemtimua kocha wake Rafael Benitez ambaye ana Miezi 7 tu katika Mkataba wake wa Miaka Mitatu, na nafasi yake imechukuliwa na mchezaji mkongwe mfaransa Zinedine Zidane zizou ambaye awali alikuwa Kocha wa Kikosi B cha timu hiyo .

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends