Washindi wa promosheni ya Kwea Pipa kwenda Barcelona watangazwa

on Monday, March 21, 2016 - No comments:


 Mshindi wa  wa Promosheni ya kwea pipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu Jamal Othman mkazi wa Lushoto, Tanga akikabidhiwa mfano wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Mkuu wa Idara ya Masoko ya Azam Media, Mgope Kiwanga katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es salaam.


Mshindi wa  wa Promosheni ya sespipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu Ismail Salim mkazi wa Dar es salaam akikabidhiwa mfano wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Meneja wa idara ya michezo Azam Media Baruan Muhuza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es salaam.


Washindi wa  wa Promosheni ya sespipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Tigo na Azam Media  katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es salaam.Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa kwa washindi wawili wa wa Promosheni ya  Kwea pipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huuWaandishi wa habari  wakichukua matukio wakati wa kutangaza Washindi wa  wa Promosheni ya sespipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu 

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends