Chura ya Snura afungiwa mazima Tanzania

on Wednesday, May 4, 2016 - No comments:


Snura afungiwa kujihusisha na Sanaa Tanzania. Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kumfungia Snura kujihusisha na masuala ya sanaa.

Pia imeufungia wimbo wake Chura pamoja na video yake kutochezwa kwenye redio na TV nchini.
Taarifa hiyo imetolewa na wizara hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wake wa mikutano wizarani hapo jijini Dar mapema asubuhi ya leo. Amedai kuwa wale watakaokiuka agizo hilo watashtakiwa kwa kutumia sheria ya makosa ya mtandao.
Muda kama wa lisaa limoja lililopita Mtandao wa Kalamu Yangu umeinasa habari hiyo ikipamba vichwa kadhaa vya Blog hapa Bongo na kuwa mada ndani ya mitandao ya kijamii.

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends