DJ Baddo ft Skales – Finally

on Wednesday, May 11, 2016 - No comments:Msanii mwenye tuzo za kutosha Dj popularly maarufu kama Dj Baddo ameachia video yake mpya aliyoipa jina la ‘FINALLY‘ ambayo amempa shavu msanii Skales. Dj Baddo alijipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kazi yake aliyokuwa akiifanya mwanzo ya kuchanganya nyimbo mtaani, kazi ambayo amekuwa akiifanya tangu miaka ya 1999. Video hii mpya imefanywa na kampuni ya 02Media katika bichi za Elegushi, Lagos.

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends