Uzinduzi wa msimu mpya wa Maisha Plus East Africa 2016 wafana

on Sunday, May 29, 2016 - No comments:


 Masoud Kipanya, miongoni mwa waanzilishi wa Maisha Plus na mtangazaji wa kipindi hicho akizungumza  wakati wa hafla ya ufunguzi i liyofanyika jana usiku  katika viwanja vya Studio za Azam Tv na kutegemewa kuanza kuonyeshwa mapema jumapili hii saa tatu usiku katika channel ya Azam Two.Na kauli mbiu ya mwaka huu ni #HAPA KAZI TU Masoud Kipanya, miongoni mwa waanzilishi wa Maisha Plus na mtangazaji wa kipindi hicho akifurahi jambo na washiriki wa vipindi vvilivyopita vya Maisha plus  wakati wa hafla ya ufunguzii liyofanyika katika viwanja vya Studio za Azam Tv na kutegemewa kuanza kuonyeshwa mapema jumapili hii saa tatu usiku katika channel ya Azam Two.Na kauli mbiu ya mwaka huu ni #HAPA KAZI TU


                         Wasanii Vitali Maembe na Jhikoman wakitoa burudani katika uzinduzi huo.


Mwanahabari na bloger John Bukuku akihojiwa na mtangazaji wa Azam Tv Benerick ambaye pia alikuwa ni mmoja wa washiriki wa msimu uliopita wa maisha plus.


Waanzilishi wa kipindi cha Maisha plus Kaka Bonda na David Sevuri wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi rasmi wa kipindi cha maisha plus mapema jana usiku katika viwanja vya studio za  Azam Tv

Mmoja wa washiriki wa msimu uliopita wa vipindi vya maisha plus akihojiwa na mtangazaji wa Azam wakati wa ufunguzi wa msimu mpya wa Maisha plus East Afrika 2016 yenye kauli mbiu ya #HAPA KAZI TU

Mkurugenzi wa Azam Media  Tido Mhando (Kushoto) akiwa na Masoud Kipanya akiongea na wageni waaalikwa waliohudhuriia  uzinduzi wa Maisha Plus East Africa 2016 ambaye itaoneshwa katika chaneli ya Azam TWo kuanzia jumapili hii saa tatu usiku .

Baadhi ya wafanyakazi wa Azam Media wakishuhudia ufunguzi rasmi wa msimu mpya wa Maisha plus East Afrika 2016 yenye kauli mbiu ya #HAPA KAZI TU

Wawakilishi kutoka bodi ya filamu Tanzania wakifuatilia kwa makini  uzinduzi wa Maisha Plus East Africa 2016 uliofanyika jana katika viwanja vya studio za Azam Tv  Aliyekuwa mshindi wa kwanza wa Maisha Plus Abdul akizungumza katika uzinduzi huo.


Baadhi ya wageni waalikwa waliofika jana katika uzinduzi wa maisha plus wakifuatilia kwa makini 


Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends