Madhara ya kufanya mapenzi na mwanamke aliye katika hedhi kwa mwanaume

on Thursday, August 11, 2016 - No comments:  1. Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu. 
  2. Maambukizi katika tezi dume (Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume. 
  3. Kuziba kwa njia ya mkojo. 
  4. Utasa au ugumba. 
  5. Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume. 
  6. Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji, utelezi au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.
Na Cray Johnson

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends