KAMA HUIONI SELECTION STATUS USICHOKE UWE UNAJARIBU KILA BAADA YA MUDA FLANI KUPITA
FUATA HATUA HIZI ILI KUWEZA KUONA CHUO ULICHOCHAGULIWA
- Ingia kwenye website sehemu ya kujisajiri (CAS)
- Kwenye Log In form, weka Username na Password yako
- Kisha click tab ya Login
- Moja kwa moja utakua umeingia kwenye mfumo wa usajili
- Fungua (click) sehemu ya mwisho imeandikwa My Profile
- Baada ya hapo fungua (click) Selection Status
- Katika hiyo selection status form juu ya table utaona maneno yanayosomeka kwa rangi nyeusi
- You Are Selected To Bachelor Degree in Regional Development Planning at Institute of Rural Development Planning
- Pia ukiangalia kwenye table utakuanda imeandikwa Admitted kwa kozi husika uliyochaguliwa
KUWA NA SUBIRA ENDAPO HUIONI SELECTION STATUS YAKO
NB: SOON ITAKAPOKUWA WAZI UTAIPATA
STAY TUNED!
NB: SOON ITAKAPOKUWA WAZI UTAIPATA
STAY TUNED!
Jamani list ya waliochaguliwa mzumbe pleade tupostie in uo blog.
ReplyDelete