BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO MACHI 2016/2017
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanatangaza nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za afya zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na NACTE na kutambuliwa na wizara. Vyuo vitakavyoendesha mafunzo haya kwa muda huu ni:
S/N | Institute | Programme | NTA Level | Enrolment Capacity | TOTAL | |
Male | Female | |||||
1 | Primary Health Care Institute - Iringa | Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 30 | 15 | 45 |
2 | Mwambani School of Nursing - Chunya | Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 40 | 20 | 60 |
3 | New Mafinga Health and allied Institute- Mafinga | Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 25 | 25 | 50 |
Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 35 | 35 | 70 | ||
4 | St. Aggrey College of Health Science- Mbeya | Technician Certificate in Nursing and Midwifery | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
5 | Bulongwa Health Science Institute- Makete | Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery | Level 6 | 20 | 30 | 50 |
Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 20 | 20 | 40 | ||
7 | Lugarawa School of Nursing- Ludewa | Technician Certificate in Medical Laboratory Science | Level 5 | 30 | 10 | 40 |
8 | Mbalizi Institute of Health Sciences - Mbeya | Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 25 | 25 | 50 |
9 | Yohana Wavenza Health Institute- Mbozi | Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 30 | 20 | 50 |
10 | St. Bakhita College of Health - Nkasi | Technician Certificate in Nursing and Midwifery | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
11 | Mkomaindo | Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 40 | 40 | 80 |
12 | Huruma School of Nursing | Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery | Level 6 | 25 | 25 | 50 |
13 | Hydom School of Nursing | Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 10 | 30 | 40 |
14 | Same School of Nursing | Technician Certificate in Nursing and Midwifery | Level 5 | 20 | 30 | 50 |
15 | St. Augustin Institute of Health Sciences (CHW) | Hospital | Level 4 | 40 | 40 | 80 |
school | 50 | 50 | 100 | |||
Elijerry centre | 50 | 50 | 100 | |||
16 | Archibishop John Ramadhani School of Nursing | Technician Certificate in Nursing and Midwifery | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
17 | Kilema College of Health Sciences | Technician Certificate in Medical laboratory | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
18 | Spring Institute of Business and Sciences | Ordinary Diploma in Pharmaceutical Science | Level 6 | 20 | 20 | 40 |
19 | Nicodemus Hhando School of Health Sciences | Technician Certificate in Medical laboratory | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
21 | Besha Health Training Institute | Technician Certificate in Medical laboratory | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 25 | 25 | 50 | ||
22 | Bumbuli (SEKOMU) | Technician Certificate in Clinical Medicine | Level 5 | 45 | ||
Ordinary Diploma in Clinical Medicine | Level 6 | 90 | ||||
Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 25 | 25 | 50 | ||
23 | Tandabui | Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 25 | 25 | 50 |
24 | Sengerema COTC | Technician Certificate in Medical laboratory | Level 5 | 35 | 15 | 50 |
25 | Mwasenda | Technician Certificate in Medical laboratory | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
26 | Royona | Technician Certificate in Medical laboratory | Level 5 | 30 | 40 | 70 |
27 | Bukumbi Nursing | Technician Certificate in Nursing and midwife | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
28 | Kagemu EHS | Technician Certificate in Environmental Health Science | Level 5 | 10 | 10 | 20 |
Ordinary Diploma in Environmental Health Science | Level 6 | 15 | 15 | 30 | ||
29 | Kolandoto | Technician Certificate in Nursing | Level 5 | 30 | 30 | 60 |
Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 30 | 30 | 30 | ||
30 | Mikocheni School of Nursing | Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 20 | 20 | 40 |
Technician Certificate in Nursing | Level 5 | 20 | 20 | 40 | ||
31 | Kulagwa | Technician Certificate in Community Health | Level 5 | 40 | 40 | 80 |
32 | DECCA College of Health and Allied Sciences | Ordinary Diploma in Medical Laboratory | Level 6 | 60 | 40 | 100 |
Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 50 | 50 | 100 | ||
33 | Mvumi Institute of Health Sciences | Technician Certificate in Nursing and Midwifery | Level 5 | 10 | 15 | 25 |
Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery | Level 6 | 20 | 30 | 50 | ||
Technician Certificate in Medical Laboratory Science | Level 5 | 40 | 30 | 70 | ||
Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 20 | 30 | 50 | ||
34 | Tabora Institute | Ordinary Diploma in Clinical Medicine | Level 6 | 50 | 50 | 100 |
Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 50 | 50 | 100 | ||
35 | Kilimatinde | Technician Certificate in Nursing and Midwifery | Level 5 | 40 | 40 | 80 |
36 | Nkinga Institute of Health Sciences | Technician Certificate in Nursing | Level 5 | 10 | 20 | 30 |
Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 20 | 20 | 40 | ||
Technician Certificate in Medical Laboratory Science | Level 6 | 15 | 15 | 30 | ||
37 | Iambi School of Nursing | Technician Certificate in Nursing and Midwifery | Level 5 | 30 | 20 | 50 |
38 | St. Johns University | Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 75 | 75 | 150 |
39 | Rukwa College of Health Sciences | Basic Technician Certificate in Community Health | Level 4 | 25 | 25 | 50 |
40 | Massana College of Nursing | Technician Certificate in Nursing | Level 5 | 20 | 20 | 40 |
Ordinary Diploma in Nursing | Level 6 | 20 | 20 | 40 | ||
41 | Isimila nursing School | Technician Certificate in Nursing | Level 5 | 25 | 25 | 50 |
Kufuatia tangazo hili watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hizi, watume maombi yao ili wajiunge na kozi hizi ifikapo mwezi April 2016.
- Muda wa Mafunzo:
- Miaka mitatu (3)kwa kozi za Stashahada (Ordinary Diploma)
- Miaka miwili (2) kwa kozi za astashahada (Technician Certificate)
- Mwaka mmoja (1) kwa astashahada ya awali (Basic Technician Certificate)
- Sifa za Muombaji Watarajali (Pre-service):
- Kozi za stashahada (ordinary diploma)
- Kozi za Stashahada ya Maabara (Ordinary Diploma in medical laboratory sciences) amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D’ kwa somo la fizikia, Hisabati na Kingereza kwa .
- kozi za Stashahada ya uuguzi na ukunga (ordinary diploma in nursing and midwifery)Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D’ kwa somo la fizikia. ufaulu wa Hisabati na Kingereza ni sifa ya ziada
- kozi za Stashahada ya Utabibu (ordinary diploma in clinical Medicine)Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D’ kwa somo la fizikia. ufaulu wa Hisabati na Kingereza ni sifa ya ziada
- Kozi za astashahada (technician certificates)
- Astashahada ya maabara (Technician Certificate medical laboratory sciences). amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia, Hisabati na Kiingereza.
- Astashahada ya Uuguzi na ukunga (Technician Certificate nursing and midwifery). awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia. Hisabati na Kiingereza ni sifa za ziada
- Astashahada ya Utabibu (Technician Certificate clinical medicine). awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia. Hisabati na Kiingereza ni sifa za ziada
- Astashahada ya awali (basic Technician certificate)
- Uhudumu wa afya (Community Health worker) awe memaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo manne (4), somo la biolojia (Biology) likiwa nilazima
- Watoaji dawa muhimu (Dispencers) awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo manne (4), somo la biolojia (Biology) likiwa ni lazima.
- Utaratibu wa kutuma maombi:
Maombi yatafanyika kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa udahiri wa pamoja (Central Admission System-CAS) unaoendeshwa na kusimamiwa na NACTE.Aidha mfumo huu unapatikana kupitia Tovuti: www.nacte.go.tz au www.cas.go.tz
- Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:
- Baraza la Elimu ya Ufundi (NACTE) litakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia ‘website’ ya Baraza na pia kupitia utaratibu mwingine wowote utakaodhihirika kurahisisha mawasiliano na utoaji taarifa.
- Taarifa hizo zitatumwa pia vyuoni kwa ajili ya ufatiliaji na urahisishaji wa mawasiliano.
- Muda wa mwisho wa kuomba kujiunga ni tarehe 31 Marchi, 2016.
- Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 18 April, 2016.
Imetolewa na:
Kaimu Katibu Mtendaji,
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
S.L.P. 7109,
Dar es Salaam.
0 comments: