What's New Here?

Showing posts with label Fashion. Show all posts

Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya ilimbwende basi utakuwa unatambua mambo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa wiki za hivi karibuni. Basi kwa nyanda za juu kusini Mkoani Njombe siku ya jana wamefikia tamati kwa kumpata mlimbwende wao Miss Njombe Tatiana De Pretty kama yeye anavyopenda kujiita. "...ushndani ulikua n mkubwa pia mgumu coz wote walikua wanaweza bt majaji ndo waliona uwezo Wang..." Best Hope Media tunapenda kumpa hongera sana kwa kulitwaa taji hilo na Mungu amsaidie asonge mbele zaidi katika mataji makubwa zaidi.

Hongera sana Tatiana, Miss Njombe 2016/17

flaviana matata afunga ndoa leo
Baada ya Mrembo Flaviana Matata mapema leo Amefunga ndoa na Aliyekuwa Mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Mr Massawe hizi ni Picha zake za Harusi yake iliyofanyika katika kanisa la St Joseph endelea kutazama hapo chini
flaviana matata afunga ndoa leo
flaviana matata afunga ndoa leo
flaviana matata afunga ndoa leo

Harusi ya mwanamitindo Flavian Matata yafana, angalia walivyopendeza

flaviana matata afunga ndoa leo
Baada ya Mrembo Flaviana Matata mapema leo Amefunga ndoa na Aliyekuwa Mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Mr Massawe hizi ni Picha zake za Harusi yake iliyofanyika katika kanisa la St Joseph endelea kutazama hapo chini
flaviana matata afunga ndoa leo
flaviana matata afunga ndoa leo
flaviana matata afunga ndoa leo
CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’
Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesa nesa
   
MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA

MADAMEEE DIANA AKITUMIKA
HATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI MTARAJIWA AKAZAMA UKUMBINI
Tukio Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show
Bi harusi mtarajiwa wakati akimsaka WAubani akajaa tumpe password aliko
MENGINEEEE TUWAACHIE BABA NA MAMA…… YASHINYANGA YALIBAKI SHINYANGA
 
Picha zote kwa hisani ya: www.8020fashionsblog.com

Sendoff party ya mwanamitindo Flavian Matata yafana

Like, share and send to friends

Jiunge nasi