Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya ilimbwende basi utakuwa unatambua mambo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa wiki za hivi karibuni. Basi kwa nyanda za juu kusini Mkoani Njombe siku ya jana wamefikia tamati kwa kumpata mlimbwende wao Miss Njombe Tatiana De Pretty kama yeye anavyopenda kujiita. "...ushndani ulikua n mkubwa pia mgumu coz wote walikua wanaweza bt majaji ndo waliona uwezo Wang..." Best Hope Media tunapenda kumpa hongera sana kwa kulitwaa taji hilo na Mungu amsaidie asonge mbele zaidi katika mataji makubwa zaidi.
Habari, Michezo, Siasa, Elimu, Muziki na Matangazo

Hongera sana Tatiana, Miss Njombe 2016/17
on Sunday, July 31, 2016
-
No comments:
Tagged as: Fashion
“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Share This Post
Related posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Like, share and send to friends
KARIBU
Popular Posts
-
KUPATA MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2015 BOFYA HAPA... (2015 RESULTS CLICK HERE) NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2013 E...
-
KUWENI NA SUBIRA WADAU WETU TCU WAMEIONDOA ILE SELECTION STATUS FUATA HATUA HIZI ILI KUWEZA KUONA CHUO ULICHOCHAGULIWA Ingia kwenye website...
-
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA WA MASOMO 2012/2013 MAELEK...
-
Kupata matokeo ya kidato cha nne 2013 BOFYA HAPA Kupata matokeo ya QT 2013 BOFYA HAPA MATOKEO CSEE 2013 ...
-
Click the link below to check the results Link 1: FORM SIX 2012 NECTA RESUTLS Link 2: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2012 Link 3: MATOKEO YA KID...
-
Bofya hapa kuangalia matokeo ya darasa la saba Waweza pia kuchagua mkoa unaotaka kwa kubofya kwenye mkoa husika ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA ...
-
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015 BOFYA HAPA Kupata matokeo hayo bofya hapo chini MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 (NATIONAL FORM FOUR RESUL...
-
S4567 SACRED HEART S4568 ROYAL S4569 ST MARIE EUGENIE S4570 MAGUNGU S4571 KIJUNGU S4572 IPWAGA S4573 UWANJA WA TAIFA S4574 ITONA S4575 MESSA...
-
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kuto...
-
KUPATA RATIBA BOFYA HAPA
0 comments: