THE NATIONAL FORM FOUR RESULTS 2012 (MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012)! KUTANGAZWA HIVI KARIBUNI HUKU KUKIWA NA HOFU KUBWA YA WATAHINIWA WENGI KUTOFANYA VIZURI KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI)

on Friday, February 8, 2013 - No comments:

fLINK-02: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012 

fLINK-04: MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2012 

Wasiwasi mkubwa umeigubika jamii katika kipindi hichi kigumu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kusubiri matokeo kutangazwa kutokana na haki halisi ya migomo ya walimu iliyolikumba taifa kwa mwaka jana. Hali hiyo inatokana na hali ilivyokuwa kwa watahiniwa wa kidato cha pili ambapo matokeo hayakuwa mazuri kwa mwaka huu, na pia hali imedhihirika katika mitandao ya kijamii kama facebook, whatsup na twitter.

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends