Kupitia ukurasa wake wa facebook, Eddo Kumwembe aliandika kitu kuhusiana na dili hilo. Hichi ndicho alichokiandika
"DEAL DONE. Am happy kuwatangazia kuwa nimesaini deal na Supersport kwa ajili ya kuwa Mchambuzi wao katika matangazo ya Ligi Kuu England kwa kiswahili. Nitakuwa naenda Johannesburg kila Ijumaa na kurudi Dar es salaam Jumatatu...Thanks everyone."
0 comments: