What's New Here?

Showing posts with label Comedy. Show all posts

Image result for women shocked at husband cheating
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!
Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsApp...!
_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri._
--
_*Kisha nikaituma ile message*_
Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yake... Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.
*Akatuma message akiniuliza...*
_Hao wanawake unawajuwa, ...mume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweli...!_
Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaa...!
Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaa...! Akaniandikia message nyingine....
*...Nakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupe... Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuri...!*
Nami nikamjibu...
_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipo...!_
Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdai...!
Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaa.... Kama sio mie!

Ukitaka kuwa mbaya dai chako. Mjini shule!

Chezea vyote lakini usiuchezee moyo wa mwenzio (Picha ya siku)

PART 1 - DANCING

PART 2 - DANCING

Masanja Mkandamizaji afunga ndoa, Mabachela wazidi pungua mjini. Jionee baadhi ya video na picha live kutoka ukumbini

PART 1 - DANCING

PART 2 - DANCING
Huu mchezo hauhitaji hasira
A selfie stick made from Tanzania
Assembled by Eng. Fabian Fwema

Selfie of the day with a selfie stick Made in Tanzania

Huu mchezo hauhitaji hasira
A selfie stick made from Tanzania
Assembled by Eng. Fabian Fwema
Today am introducing to you a very special person in my life.The beautiful lady you see is my Grand mum.She raised me since the age of 1year when my Dad and mum separated under unknown Curcumstances that I cannot explain. I had no chance of meeting Mum untill 27 years later my grand mum was there for me.Jaja did everything possible so that I attain decent education.She has always been with me and has given me words of love and comfort in diffucult times.Iam very lucky to have her .She's amazing and I thank her for being the mother of my late father.The most inspiring piece of advice she has ever given me was simply to persevere. Jjaja taught me to always keep going no matter what from an early age.Jjaja may God bless you with good health and many more years.Thank you for turning me into an inspiring person

Je, wamjua mtu muhimu zaidi kwa Teacher Mpamire?

Huu ni ujumbe niliokutana nao leo katika mtandao wa kijamii wa facebook ambao umevuta hisia za watu wengi hasa wale kutoka dini ya kikristo.
Ujumbe huo umeandikwa katika lugha ya kiingereza lakini katika maana ya kishwahili tunaweza sema mwandishi alimaanisha "Haijalishi rahisi atakuwa nani, lakini Yesu atabaki kuwa mfalme.

Ujumbe ulioandikwa nyuma ya gari unaohusicha imani ya kikristu na uchaguzi mkuu 2015 wawa gumzo facebook

Huu ni ujumbe niliokutana nao leo katika mtandao wa kijamii wa facebook ambao umevuta hisia za watu wengi hasa wale kutoka dini ya kikristo.
Ujumbe huo umeandikwa katika lugha ya kiingereza lakini katika maana ya kishwahili tunaweza sema mwandishi alimaanisha "Haijalishi rahisi atakuwa nani, lakini Yesu atabaki kuwa mfalme.

Like, share and send to friends

Jiunge nasi