IT PAINS!! THE WAY THE YEAR 2011 ENDED!

on Thursday, January 12, 2012 - No comments:

This is the way the year 2011 end to Tanzanians

The year was totally bad as most of the things happened seems hurting. This is ents cause great prothe list of some events that cause great loss of Tanzanians life. Not only that these events lead to great properties loss.

Kabla watanzania hawajasahau machungu ya milipuko ya mabomu ya Mbagala ikafuatia milipuko mingine mikubwa ya mabomu huko GongolaMboto, ambapo zaidi ya watanzania wenzetu 25 walipoteza uhai,512 walijeruhiwa na kusababisha idadi ya nyumba 5511 kuharibiwa kuharibiwa. Cha kusikitisha zaidi ni less consideration ya viongozi katika suala hilo, kwa mfano ucheleweshwaji wa misaada na fidia kwa waathirika wa janga hilo.

Ilishakuwa historia kwa watanzania kusikia ajali za vyombo vya majini, lakini haikuwa hivyo tena kwa mwaka huu mnamo tarehe 10/09/2012 ambapo watanzania 619 waliponea chupuchupu kupoteza maisha na wengine 203 kupoteza maisha kutokana na ajali mbaya ya meli ya MV ICELANDERS iliyozama na kusabisha hilo pamoja na hasara isiyofahamika(Unknown cost).

Ikawa kama enzi za NUHU na safina mvua kali ajabu abayo inasemekana haijawahi kutokea katika jiji la DSM kusababisha vifo vya watu wanaosemekana kufrikia idadi ya watu 40na kusababisha wengine wengi yapata 5029 kukosa makazi na kupoteza mali zao.

Yote tisa kumi Serikali tawala imeshindwa kutoa misaada ya kueleweka kwa waanga wa janga hilo. Tatizo ni kutokuwa na serikali ambayotutafika haiko makini.Je tutafika kwa staili hiyo? Undugulization umetawala mno katika serikali ya Tanzania.

UMASKINI , uJINGA NA MARADHI HAVIWEZI ISHA TANZANIA HII WITHOUT CHANGING OUR ATTITUDES(HAVING POSITIVE ATTITUDE).

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends