KAOZAB X'CLUSIVE

on Tuesday, July 3, 2012 - No comments:

Kama ligi ya england ingekuwa darasa basi darasa lingekuwa hivi..

  • Liverpool-ni mwanafunzi anaye jivunia mafanikio ya wazazi wake.
  • Arsenal-ni mwanafunzi anaye penda mafanikio anahangaika kuyapata lakini bado hapati.
  • Chelsea-ni mwanafunzi anayefeli na kulaumu walimu na wazaz wake wanamtafutia mwalimu mwingine
  • Man city-ni mwanafunzi mwenyekila kitu vitabu vyote anavyo lakini bado hawezi kuvitumia.
  • Man united-ni mwanafunzi mjanja mjanja mwenye mafanikio makubwa lakini sifa anazopewa na watu zinamfanya apunguze kasi ya masomo na kujikuta akipoteza mafanikio yake.

  • *HUO NI MTAZAMO WANGU*

    Tagged as:
    Unknown About Unknown

    “You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

    Get Updates

    Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

    Share This Post

    Related posts

    0 comments:

    Like, share and send to friends