Chris Brown, Drake sasa "No Beef Anymore" na wanatarajiwa kuachia collabo

on Friday, July 11, 2014 - No comments:

Chris Brown na Drake sasa wameamua kuachana na beef na kuamua kuachia collabo ya pamoja nyota hao wameonekana wakiwa huko la usiku wa jana july 10. na inasemekana kuwa wanapika bonge la kollabo kosine,mmoja wa ma producer Da Internz walipost picha iliwaonesha drizzy na breezy wakiwa wanasikiliza mdundo ambao watatupia saut zao juu yake Wawili hao wametoka mbali sana enzi zile walipotofautiana katika moja ya night club moja huko New York miaka miwili iliyopita. Big sean ambayo ni mmoja ya rafiki wao wa karibu alifunguka kupitia mtandao wa tweeter na kusema “Glad to see it,” ali tweeted Big Sean pia inasemekana kuwa wawili hao walimaliza tofauti zao mwezi uliopita na Chris ku post video aki freestyle 0 to 100 ya Drake. Kwa mara nyingine tena girlfriend wa Chris, Karrueche alionekana katika studio hiyo

Tagged as:
Goodluck Mshairi About Goodluck Mshairi

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends