[
I would like to take a few minutes of my time to thank the whole Team
of God father Production for working with me through it all and making
this video happen... Apart from all da obsticles we encountered but they
managed to work their magic and made sure we reached our goal...
appreciate so so Much!! ]
naomba ntumie dakika hizi chache kuwashkuru team nzima ya God Father Production kwa kuweza kushirikiana nami kwa hali na mali kuhakikisha nafanikisha video hii... mbali ya ugumu, vikwazo na Usumbufu wote lakini walihakikisha wanafanya ufanisi wao wote kuhakikisha tunakamilisha... Cc @i_am_godfather @mikedube01

0 comments: