WIZKID NA GIRLFRIEND WAKE KABLA YA KUWA STAR BOY

on Sunday, May 31, 2015 - No comments:

1-wizzy
Bi Mdada anaitwa Sophie Rahman. Inasemekana ndiye girlfriend wa kwanza wa Wizkid kutokana na chanzo kimoja kutoka Nigeria. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mziki mzuri kutoka Nigeria basi utakumbuka huyu dada ashaonekana kwenye video ya wimbo gani. "Holla at your boy" ndio video ya kwanza ya Wizkid ambayo ilifanya vizuri sana. Ndani ya video hii kuna mdada ambaye wizkid alikuwa anamzimia kitu kilichofanya rafiki yake amkaushie na hata class tisha akamzingua kwani alikuwa anamtaka Wiz. Basi yule dada ndio huyo aliyehaso na Wiz tangu mwanzo kabisa wa sanaa yake kwenye shida na raha.
Kwa sasa Wizkid hayupo tena na mdada huyo kwa kile kinachodaiwa kuwa Wiz alimuacha mdada huyo Half Cast baada ya kuwa star na kufahamika kila kona ya mtaa na nje ya nchi yake. kama ilivyokawaida binadamu huwa ni wagumu kukumbuka kitovu cha mafanikio yake.
Kwa sasa Wizkid anatamba na nyimbo nyingi kali zilizopendwa na zinazopendwa kila kona ya mtaa kama Dance for me, Girl(ft Bracket), Holla at your boy, Shuga, Azonto Remix, Speedy(ft uhuru), Expensive Sh!t, Show you the money, 

2-wizzy
3-wizzy
blogger-image-1686884238   SOO

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends