Matokeo ya ubunge viti maalum mkoa Njombe yalikuwa kama ifuatavyo;
Dkt Susan Kolimba kapata kura 252,
Dkt Susan Kolimba kapata kura 252,
Neema Mgaya 213,
Pindi Hazara Chana 164,
Elika Sanga 107,
Rosmaly Sitaki 38
Magreth Kyando 5
Pia mwakilishi wa mashirika yasiyo ya kiserikali NGO's wa mkoa wa Njombe kwa viti maalumu ni Mwina Japhet Nebo.
0 comments: