TAASISI YA TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA) YAANDAA KONGAMANO LA KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA

on Wednesday, March 9, 2016 - No comments:



Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.
Rais wa Tanzania Women of Achievement Irene Kiwia  akitoa hotuba ya ufunguzi  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.


Mgeni Rasmi ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk .Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawakeduniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.,




Mwongoza Mada Modesta Mbughunia   kifurahia jambo   katika mjadala wa Uwiano sawa wa kijinsia uliofanyika katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.


Mhadhiri kutoka Centre of Foreign Relations and International  Affairs  Prof.Ruth Meena akifafanua jambo wakati mjadala kuhusu uwiano sawa wa kijinsia  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.


Mmoja wa wazungumzaji wakuu Prof Slyvia Kaaya akichangia mada katika mjadala wa uwiano sawa wa kijinsia pembeni yake ni Bi Mary Rusimbi aliyekuwa mkurungezi mtendaji wa BOT ,na kulia kwake ni Mwenyekiti wa TAWLA Aisha Bade ,anayefuatia ni Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi     katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.
Waziri wa fedha mstaafu Mama Zakhia Meghji akichangia katika ya uwiano sawa katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.


Mwandishi wa habari Mkongwe Bi Edda Sanga akichnagia mada ya Usawa wa Kijinsia katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.
Mfanyabiashara na blogger Monica Joseph akichangia mada katika mjadala wa usawa wa kijinsia katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.
MC Taji Liundi akiongoza utaratibu katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawakeduniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.
Mwanafalsafa Dk Elie Waminian akitoa mada katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawakeduniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.
Mmoja wa wasichana waliopata usimamizi (Mentorship )  kutokaTaasisi ya  TWA Dalini Kilemba akitoa ushuhuda kwa washiriki  jinsi TWA walivyoweza kubadilisha maisha yake  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.
Mtendaji Mkuu wa WOMEN FUND TANZANIA Mary Rusimbi ambaye alikuwa mmoja wa wazungumzaji wakuu katika mazungumzo yaliyofanyika katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake duniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.


Mwanamzuki CHi akitumbuiza katika katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dduniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.


Washiriki mbalimbali wa kongamano wakiweka saini zao katika ubao maalum katika namna ya kutoa ahadi ya Uwiano sahihi wa kijinsia  katika kongamano la  shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawakeduniani   liliandaliwa  na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) lenye kauli mbiu ya Kutoa ahadi ya uwiano wa kijinsia Tarehe 8 Machi  lililofanyika jijini Dar es salaam katika hotel ya Hyatt Regency mapema jumapili iliyopita.

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends