KUSUKA AU KUNYOA ROBO FAINALI MABINGWA ULAYA RAUNDI YA PILI

on Tuesday, April 12, 2016 - No comments:

Usiku wa ulaya unarudi tena leo pale ambapo miamba ya soka barani ulaya itachuana katika robo fainali raundi ya pili ili kupata timu zitakazofuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Real Madrid wanatakiwa wafunge zaidi ya magoli mawili kwa bila ili kuindoa Wolfsburg katika mashindano hayo.
Rekodi zinaonesha ni timu mbili tu ziliwahi kuvuka baada ya kufungwa mechi ya kwanza  ugenini kwa magoli mawili ikiwemo Real Madrid yenyewe pale ilipogeuza matokeo na kuifunga Red Star Belgrade 1987.

Kwa upande mwingine ushindani utakua kati ya  Man.City ya England na PSG ya Ufaransa  baada ya mechi ya awali kuisha kwa sare ya magoli 2-2 iliyofanyika nchini Ufaransa.

Hii hapa ratiba ya leo mechi za marudiano robo fainali mabingwa ulaya.Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends