SAA 3.45 USIKU HUU MABINGWA ULAYA "KUUMANA". CHAMPIONS LEAGUE IS BACK

on Tuesday, April 5, 2016 - No comments:

Michuano ya ligi ya mabingwa ulaya inaendelea tena usiku huu kwa michezo miwili kati ya Barcelona vs Atletico Madrid  na Bayern Munich vs Benfica.
Barcelona ambayo mwishoni mwa wiki iliyopita ilifungwa magoli 2 - 1 na wapinzani wao Real Madrid katika muendelezo wa ligi kuu ya Hispania wanatarajia kukutana na upinzani mkubwa kutoka kwa mafundi kama Antoine Griezman na Koke wa Atletico Madrid.
Kwa upande mwingine bonge la mechi itakua baina ya Bayern Munich ya Ujerumani na time zoefu sio ya kubeza ya Benfica ya Ureno.

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends