Tigo Yafungua Duka jipya wilayani Handeni

on Monday, April 4, 2016 - No comments:

 Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa duka jipya la TIgo wilayani Handeni mkoani Tanga  kulia kwake   ni Mkuu wa willaya ya Handeni mhe. Halima Rajab Msangi uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni.

Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la Tigo wilayani humo. Wengine mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles(wa pili kushoto), Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo (kulia) na Msimamizi wa Duka la Tigo Handeni,  Zuhuru Omary. uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni.

Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka jipya la Handeni kwa mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni mkoani Tanga.

Mkuu wa willaya ya Handeni  Mhe. Halima Rajab Msangi  akiwa katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles na wafanyakazi wa Tigo wa duka la Handeni mara baada ya uzinduzi uliofanyika mapema ya wiki wilayani Handeni mkoani Tanga.

Tagged as:
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends