Matokeo ya usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 25/05/2016 katika ofisi za baraza la mitihani la tanzania

on Friday, May 27, 2016 - No comments:

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 25/05/2016 KATIKA OFISI ZA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA - MBEZI JUU 

KWA KUZINGATIA MATOKEO HAYO WANAOSTAHILI KUHUDHURIA USAILI WA KUJIELEZA UTAKAOFANYIKA TAREHE 26/05/2016 KATIKA OFISI ZA BARAZA LA MITIHANI MKABALA NA TBC KUANZIA SAA 1.30 ASUBUHI NI WAFUATAO:

  1. KADA YA EXAMINATIONS OFFICER II - CHEMISTRY – WASAILIWA WALIOSHIKA NAFASI YA 1 – 6
  2. KADA YA EXAMINATIONS OFFICER II - BIOLOGY – WASAILIWA WALIOSHIKA NAFASI YA 1 – 6
  3. KADA YA OFFICE ASSISTANT II – WASAILIWA WALIOSHIKA NAFASI YA 1 – 4 
WASAILIWA WOTE WANATAKIWA KUFIKA NA VYETI HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES) KUANZIA KIDATO CHA NNE, SITA, STASHAHADA, STASHAHADA YA JUU, SHAHADA NA KUENDELEA KUTEGEMEANA NA SIFA ZA MUOMBAJI.Tagged as: , ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends