Zimebaki siku sita tu kukinukisha pale Milimani City. Unasubiri nini kujipatia tiketi yako tarehe 20 Mei 2016, Naamka Tena Concert. Tiketi zimeanza kupatikana OMGift Shop - Dar Free Market, Shear Illusion - Mlimani City, Jackies Bar-Masaki na Samaki Samaki.
Kwa Wakazi wa Dar Es Salaam. Dodoma kaeni tayari tunakuja
Powered by EFm & East Africa TV/Radio
0 comments: