Nick wa Pili "Bora nibaki na Yanga, Manchester stress tupu kiwango hamna"

on Tuesday, May 10, 2016 - No comments:Kauli hii imekuja baada ya matokeo ya mechi ya leo kati ya Manchester United na Southampton ambapo mchezo ulimalizika kwa Manchester kuchezea kichapo cha bao 3 kwa 2.
Mwenendo wa Man u kwa kipindi hiki umekuwa wa kusua sua sana na kuwachanganya sana mashabiki wake na hasa wale kutoka hapa Tz ambao pia ni mashabiki wa timu ya wekundu wa Msimbazi "Simba SC" ambayo nayo matokeo yake ya michezo mbalimbali yamekuwa mabovu kadri siku zinavozidi kwenda.

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends