Ujenzi wa barabara ya lami waendelea kwa kasi Wilayani Ludewa

on Thursday, May 26, 2016 - No comments:


Mitambo ya kampuni ya SIETCO ya raia wa China ikiwa kazini katika ujenzi wa barabara hiyo  

 Mitambo ya kampuni ya SIETCO ya raia wa China ikiwa kazini katika ujenzi wa barabara hiyo Mitambo ya kampuni ya SIETCO ya raia wa China ikiwa kazini katika ujenzi wa barabara hiyo  

Mitambo ya kampuni ya SIETCO ya raia wa China ikiwa kazini katika ujenzi wa barabara hiyo 

Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha Lami katika mji wa Ludewa kuunganisha na Ludewa Kijijini inaendelea kwa kasi kubwa kutokana na kampuni ya kichina ya SIETCO kufanya kazi hiyo vizuri katika maeneo mengine na hatimaye kupewa tenda nyingine tena ya ujenzi wa maeneo ya mlima unaotoka katika mtaa wa Mkondachi na kuelekea Ludewa Kijijini,

Endelea kutembela mtandao huu ili kupata habari kamili ya ujenzi wa barabara ya Lami wilayani Ludewa.

Imeandaliwa na Nickson Mahundi

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends