Mtandao wa Miami Herald lakanusha taarifa yake ya kuwa Mlima Kilimanjaro upo nchini Kenya

on Tuesday, July 19, 2016 - No comments:

In this photo taken in 2011, South Africa rally driver Gugu Zulu gestures next to his car. A South African trying to summit Kenya's Mount Kilimanjaro to mark Mandela Day has died. A statement from the Nelson Mandela Foundation said details are "sketchy" but that it appeared Gugu Zulu had problems breathing early Monday July 18, 2016, as his group tried to reach Africa's highest peak.

Taarifa hiyo iliripotiwa na mtandao huo tarehe 18 mwezi huu juu ya kifo cha mpandaji huyo wa mlima aliyeongozana na watu kadhaa akiwemo mke wake Letshego. Ziara hiyo ya kupanda mlima Kilimanjaro iliyojulikana kwa jina la Trek4Mandela iliyokuwa na lengo la kusaidia watoto waishio katika mazingira hatarishi.

Kuipata taarifa hiyo bofya hapa (Correction: South Africa-Climber Dies story)

Tagged as: ,
Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends