Serena Williams ajitoa kwenye michuano ya Rogers Cup

on Monday, July 25, 2016 - No comments:

Mchezaji tenesi namba 1 kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Serena Williams amejiondoa katika michuano ya Rogers Cup Itakayofanyika Montreal kwasababu ya kuwa majeruhi. Mwanadada huyu ambaye ametwaa taji hilo mara 2 hajacheza michuano yeyote tangu ashinde taji la Wimbledon na amejiondoa kutokana na tatizo la bega linalomsumbua.

Unknown About Unknown

“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

Related posts

0 comments:

Like, share and send to friends