Mtu mmoja amejikuta matatizoni nchini Kenya baada ya bosi wake kuchoshwa naa tabia zake za wizi. Waswahili wanasema za mwizi arobaini, na arobaini za jamaa huyu hazikuwa mbali baada ya kujikuta akibugia majani kama mnyama.
Baada ya sakata la wizi kutokea, mwajiri wake aliamua kutumia uungwana wa kumuuliza na ndipo kijana huyo alipokataa na bosi akampa tahadhari kuwa litakalomkuta ni shauri yake. Ndipo maswahibu hayo yakampata kijana huyo na kuudhihirishia uuma kuwa tabia za wiziwizi zilikuwa ni zake kwani asingepatwa na balaa hilo kama si mwizi.
Iangalie video hapa chini oone yaliyomkuta jamaa
0 comments: