- Zoezi la kuhesabu kura limefikia tamati nchini Zambia kwa vituo vyote 156 vya kupigia kura kuwasilisha kura zao na kuhesabiwa. Akitangaza matokeo hayo Mh. Esau Chulu aliyepewa dhamana ya kumtangaza raisi alimtangaza aliyekuwa Raisi wa awamu iliyopita Mh. Edgar Lungu kuwa ndiye raisi mpya wa nchi ya Zambia akiwaacha mbali wenzake wa upinzani kwa kura 1,860,877 huku mpinzani wake mkubwa kutoka UPND, Ndugu Hichilema Hakainde akimkaribia kwa tofauti ya kura zaidi ya laki moja ambapo alipata kura 1,760,347.
- .
- 9 hours ago
- 9 hours ago
- 12 hours ago
- 12 hours ago
- a day ago
- a day ago
Consolidated 156 Constituencies PF-1,860,877
UPND-1,760,347
FDD-24,149
PAC- 15,791
RAINBOW-9,504
UPP-9,221
UNIP-8,928
DA-2,378
GREENS-4,515
0 comments: