You are here: Home
»
Sports
»
Mwanariadha mwanadada wa Kenya abeba medali ya dhahabu katika michuano ya Olympic
Mwanariadha mwanadada wa Kenya abeba medali ya dhahabu katika michuano ya Olympic
on Sunday, August 14, 2016
-
Mwanariadha wa Kenya mwanadada Jemima Sumgong ameshinda mbio za Marathon na kubeba medali ya dhahabu katika michuano ya Olympic nchini Brazil leo.
Sumgong,31,ameshinda kwa kutumia saa 2 na dk 24:04 na amekuwa ni mwanamke wa kwanza wa Kenya kuchukua medali ya dhahabu ya Olympic katika mbio za Marathon.
About Unknown
“You have no idea how much the last few days have meant to me," I began. "Meeting you has been the best thing that's ever happened to me.” Get the latest entertainment updates from Best Hope Media or call +255 655 987 588
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
0 comments: