What's New Here?

RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 (CSEE 2014 EXAMINATIONS TIMETABLE)

WALIMU-CHETI NA DIPLOMA KWENDA VIKOSI MBALIMBALI VYA JKT

MUNGU AKUPE HEKIMA

Miaka mingi imepita,tangu uziache nepi,
Hekima umezichota,na kuyaacha makapi,
Na mengi umeyapita,sijui myaka mingapi,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Kama vile jina lako,Mungu wetu twamsifu,
Mema yote yaje kwako,na ujazwe utukufu,
Pongezi za ndugu zako,kamwe zisije kukifu,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Mama amepata mwana,mwana mwema naamini,
Hasemi mtundu sana,bali unajiamini,
Wewe kaka ndiwe shina,nduguzo twakuamini,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Baba anajivunia,kuwa nawe kila siku,
Kwa watu kujisifia,atamani uwe huku,
Kakangu unatulia,huna papara za kuku,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Mwisho njoo kalamuni,twataka vitu jamani,
Wakutaka hadithini,ubuni picha jamani,
Wasema uje ubuni,ukuze yako thamani,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu

Source: Kalamu Yangu

NASHUKURU KWA HERI ZENU ZA SIKU YANGU YA KUZALIWA, HAPPY BIRTHDAY TUMSIFU (BLOGGER)

MUNGU AKUPE HEKIMA

Miaka mingi imepita,tangu uziache nepi,
Hekima umezichota,na kuyaacha makapi,
Na mengi umeyapita,sijui myaka mingapi,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Kama vile jina lako,Mungu wetu twamsifu,
Mema yote yaje kwako,na ujazwe utukufu,
Pongezi za ndugu zako,kamwe zisije kukifu,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Mama amepata mwana,mwana mwema naamini,
Hasemi mtundu sana,bali unajiamini,
Wewe kaka ndiwe shina,nduguzo twakuamini,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Baba anajivunia,kuwa nawe kila siku,
Kwa watu kujisifia,atamani uwe huku,
Kakangu unatulia,huna papara za kuku,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu.

Mwisho njoo kalamuni,twataka vitu jamani,
Wakutaka hadithini,ubuni picha jamani,
Wasema uje ubuni,ukuze yako thamani,
Mungu akupe hekima,kaka yangu Tumsifu

Source: Kalamu Yangu
Artist: Isack ft Lucy
Audio: Icon Record TZ, Morogoro Tz
Video directed by Ngwasso Kisilwa and Suleyman Mahela...KISILWA PICTURES

NEW VIDEO: ISACK FT LUCY - DIE HARD

Artist: Isack ft Lucy
Audio: Icon Record TZ, Morogoro Tz
Video directed by Ngwasso Kisilwa and Suleyman Mahela...KISILWA PICTURES

Wanasema kimya kingi kina mshondo baada ya kudaiwa, hapo mwanzo ilidaiwa kua  Hamisa Mobeto alikua akichepuka na Bwana Almas aka Dangote aka Diamond au Chibu kama mwenyewe anavyopenda kujiita. Lakini baada ikaja kujulikana kua yalikua ni maneno ya wabongo.
Habari za kuaminika Bongoclan ilizozipata ni kua kwa sasa Mwanadada Hamisa kazama kabisa kwenye penzi zito la Seth De Jesus Giovan almaarufu kama Bikira wa kisukuma. Mmoja wa mashostito wa wapenzi hao ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema kua Hamisa keshatambulishwa nyumbani kwao na Bikira na kilichobaki ni tukio la kuvishana pete ndo lililobakia.
Team yetu iliamua kufatilia kama ni kuna ukweli  kuhusiana na ishu ya kuvishana pete kwa wapenzi hao na kugundua ni kweli kua watavishana pete tarehe 2 ya mwezi wa 8 ndani ya Escape 1 ambako pia ndani ya siku hiyo kutakua na Instagram Party.

Kupitia akaunti yake bikira wa kisukuma alifunguka haya kuhusiana na tukio hilo " Mungu anipe nini mie...Nimeokota Embe Dodo vhini ya Mpera..I cant wait tarehe 2 pale ESCAPE 1.. Asante Mungu kwa kuileta INSTAGRAM maana nisingempata huyu na kudolishia watu hapa... Nakupenda we mtoto kuliko Ng'ombe anavyopenda majani,Nakuhusudu kuliko Mngoni anavyopenda ngono,Nakuthamini kama Mchungaji anavyoithamini Biblia... I cant wait to engage you pale jukwaani mbele ya halaiki maelfu TAREHE 2...Kama Chibu kaweza kwanini mie nishindwe...Niko tayari kuwa bwege juu yako hamisa wangu,Sitakuwa na wivu wala SitakuSPY kama mme wa yule dada nanii yule mtangazaji,Msukuma nimezama kwako @hamisamobeto DONT MISS MY ENGAGEMENT PARTY kwenye INSTAGRAM PARTY TAREHE 2...iam excited..Nikipigwa kibuti ntalia balaa ntafunga akaunti wallah"
 
Pia inadaiwa kua Hamisa amewaalika mastar mbalimbali ambao watahudhuria tukio hilo wakiwemo Diamond akisindikizwa na Wema,  Adam Mchomvu, William Malecela, Jerry Slaa na wengine kibao huku burudani ikitolewa na Skylight Band.
Kiingilio siku hiyo itakua ni elfu 10 tu huku mambo yakianza mapema kuanzia saa1 ya usiku.
Unakaribishwa Kusoma habari za udaku na za siasa kila siku, usikubali kupitwa, like page yetu ya swahilitz katika facebook na pia usisahau kutufollow katika instagra @swahilitz vile vile katika twitter @swahilitz1.

EXCLUSIVE : HAMISA MOBETO KUVISHWA PETE YA UCHUMBA TAREHE 2 YA MWEZI WA 8 NDANI ESCAPE 1.

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 (ACSEE 2014 RESULTS)

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 (2014 ACSEE RESULTS)

Baada ya juzi kushuhudia kalamu ya magoli kwenye mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la dunia kati ya Brazil na Ujerumani, jana imepigwa nisu fainali ya pili kati ya Argentina na Uholanzi. Matokeo ya mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Sao Paolo ni ushindi uliotokana na mikwaju ya penati wa 4-2 kwa Argentina. Mechi hiyo ilikuwa ya kukamiana na kucheza kwa kujihami kwa timu zote mbili iliisha kwa sare tasa katika dakika 120 na hivyo ikaamuriwa ipigwe mikwaju ya penati. Waliopata penati kwa Argentina ni Messi, Aguero, Garay, na Rodriguez wakati Robben na Dirk Kuyt wakifunga penati mbili za uholanzi huku Vlaar na Sneijder wakikosa. Argentina sasa itaenda kucheza na Ujerumani fainali jumapili hii, wakati Uholanzi wakikutana na Brazil jumamosi kugombea medalinya mshindi wa 3.

Argentina Hao

sdf fdffff ffff

this is it

sdf fdffff ffff

Diamond Platnumz Mdogo Mdogo (Oficial Video)

Akiwa anasherekea birthday yake ya 40 hitmaker wa whoa,Lil kim ameachia mitandaoni picha ya kwanza ya mtoto wake anayeitwa Royal Reign. picha hiyo ilipigwa kwa ukaribu sana muda mfupi baada ya mtoto huyo kuzaliwa june 9 mwaka huu. Kim ali- post picha hiyo akiambatanisha na ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake Thank U to all my fans #TeamLilKim #KillerBees #Beehive & friends for the Birthday love. I Love U guys so much and we will be together soon again. On my Birthday I want to share something special with U all…. The greatest gift I have ever received. My princess, Royal !!!!! This is her first picture on the day she was born. It was life changing and I want to share a small piece of my pride and joy with U on my special day today!!! Love U :) :) !!!! #HappyBirthdayLilKim #Royal #Reign #RoyalReign #TeamCancer

Huyu ndie mtoto wa Rapper Lil Kim

Chris Brown na Drake sasa wameamua kuachana na beef na kuamua kuachia collabo ya pamoja nyota hao wameonekana wakiwa huko la usiku wa jana july 10. na inasemekana kuwa wanapika bonge la kollabo kosine,mmoja wa ma producer Da Internz walipost picha iliwaonesha drizzy na breezy wakiwa wanasikiliza mdundo ambao watatupia saut zao juu yake Wawili hao wametoka mbali sana enzi zile walipotofautiana katika moja ya night club moja huko New York miaka miwili iliyopita. Big sean ambayo ni mmoja ya rafiki wao wa karibu alifunguka kupitia mtandao wa tweeter na kusema “Glad to see it,” ali tweeted Big Sean pia inasemekana kuwa wawili hao walimaliza tofauti zao mwezi uliopita na Chris ku post video aki freestyle 0 to 100 ya Drake. Kwa mara nyingine tena girlfriend wa Chris, Karrueche alionekana katika studio hiyo

Chris Brown, Drake sasa "No Beef Anymore" na wanatarajiwa kuachia collabo

Chris Brown na Drake sasa wameamua kuachana na beef na kuamua kuachia collabo ya pamoja nyota hao wameonekana wakiwa huko la usiku wa jana july 10. na inasemekana kuwa wanapika bonge la kollabo kosine,mmoja wa ma producer Da Internz walipost picha iliwaonesha drizzy na breezy wakiwa wanasikiliza mdundo ambao watatupia saut zao juu yake Wawili hao wametoka mbali sana enzi zile walipotofautiana katika moja ya night club moja huko New York miaka miwili iliyopita. Big sean ambayo ni mmoja ya rafiki wao wa karibu alifunguka kupitia mtandao wa tweeter na kusema “Glad to see it,” ali tweeted Big Sean pia inasemekana kuwa wawili hao walimaliza tofauti zao mwezi uliopita na Chris ku post video aki freestyle 0 to 100 ya Drake. Kwa mara nyingine tena girlfriend wa Chris, Karrueche alionekana katika studio hiyo
Baada ya juzi kushuhudia kalamu ya magoli kwenye mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la dunia kati ya Brazil na Ujerumani, jana imepigwa nisu fainali ya pili kati ya Argentina na Uholanzi. Matokeo ya mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Sao Paolo ni ushindi uliotokana na mikwaju ya penati wa 4-2 kwa Argentina. Mechi hiyo ilikuwa ya kukamiana na kucheza kwa kujihami kwa timu zote mbili iliisha kwa sare tasa katika dakika 120 na hivyo ikaamuriwa ipigwe mikwaju ya penati. Waliopata penati kwa Argentina ni Messi, Aguero, Garay, na Rodriguez wakati Robben na Dirk Kuyt wakifunga penati mbili za uholanzi huku Vlaar na Sneijder wakikosa. Argentina sasa itaenda kucheza na Ujerumani fainali jumapili hii, wakati Uholanzi wakikutana na Brazil jumamosi kugombea medalinya mshindi wa 3.

Argentina haoooooooo

[ I would like to take a few minutes of my time to thank the whole Team of God father Production for working with me through it all and making this video happen... Apart from all da obsticles we encountered but they managed to work their magic and made sure we reached our goal... appreciate so so Much!! ]
naomba ntumie dakika hizi chache kuwashkuru team nzima ya God Father Production kwa kuweza kushirikiana nami kwa hali na mali kuhakikisha nafanikisha video hii... mbali ya ugumu, vikwazo na Usumbufu wote lakini walihakikisha wanafanya ufanisi wao wote kuhakikisha tunakamilisha... Cc @i_am_godfather @mikedube01

DIAMOND PLATINUMZ IS COMMING NA HII KITU MUPYA VERY SOON

MyTimeLine is a free blogger template with 2 columns, responsive design, magazine-styled, right sidebar, gallery-styled, minimalist, exclusive design for Blogger, ads ready, footer columns, slideshow, social bookmarking icons, posts thumbnails, tabs, drop down menu, breadcrumbs, emoticos, emoticons, well formatted threaded comments and neutral colors.
Excellent layout for blogs about any general topic, internet, music, news, a diary, photography or travel.live demo

WE ARE BACK IN DE BUSINESS

Like, share and send to friends

Jiunge nasi